Tanga Fresh...Mtindi

Tanga Fresh...Mtindi

Mlingano haipo Pongwe,ipo wilaya ya Muheza. Na kile ni chuo cha mifugo.
Tanga Fresh ni muungano wa ushirika wafugaji wa Tanga yaani Tanga Daily Cooperative Union na waholanzi. Ambapo wafugaji wanauza maziwa yao pale kiwandani.
 
boobs-920-4.jpg
 
Yani wewe umewaza vibaya kama mimi lolz.. Yani nilisikia tumbo lanikata. Nkajua tayari uziii unaleta habari za maududu ya hayo maziwa.. Mweeee

Mungu tusaidie!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Umeona eeh?kwa jinsi mtindi huo unavyokubalika ndani ya familia yangu,nilijua nimekwisha!
 
Da! Ngoja nikitoka kazini nakanunue mtindi wa Tanga Fresh Baridi na sukari kwa mbaliiii. Kwa raha zangu
 
Sifa yake nyingine ni kuserve budget packet moja ya alfu munachovea watu sita na kulumangia na liugali kilo mbili
 
Ehheee! nyumbani kwetu, nyie mukuye tu lakini musiondoke!
 
Nai miss Tanga fresh huku kanda ya ziwa tunapata Mara milk lakini yanachakachuliwa sana hata sina tena hamu kuyanunua!Tanga fresh leteni Kahama maziwa yenu wateja tupo sana.Mara milk wanaweka unga Tanga fresh ni bomba!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom