TANESCO

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
6,565
8,427
TANESCO jamani, mvua manyunyu tu bila hata upepo mmekata umeme

Ifike muda TANESCO ipate mbadala kama ilivyo tokea kwa TTCL. Hii inachosha na kuudhi sana sana
 
Wamerudisha walikua wanatest kama switch zinafanya kazi😂😂😂😂
 
TANESCO jamani, mvua manyunyu tu bila hata upepo mmekata umeme

Ifike muda TANESCO ipate mbadala kama ilivyo tokea kwa TTCL. Hii inachosha na kuudhi sana sana

Wewe ni sukuma gang
IMG_0843.png
 
Kuna haya makampuni mawili, TAA SIKO, DAWA SIKO.........majina yake yanasadifu namna yalivyo.
 
Back
Top Bottom