Tanesco

Tanesco

Ombeni w lema

Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
22
Reaction score
1
Hivi hawa tanesco wametumwa!!?au ni uleule ufisadi ndo unatufanya sisi wananchi tuishi gizani.kama ndo hivi tumekwisha.
 
Hivi hawa tanesco wametumwa!!?au ni uleule ufisadi ndo unatufanya sisi wananchi tuishi gizani.kama ndo hivi tumekwisha.

mkuu inaonyesha wewe hapa ni Mgeni hii Thread yako haiusiani na hapa ulipo weka. Kwa sababu hapa ni mahali pa ( JF Doctor) ingelipendeza uweke hii thread yako kwenye Sehemu ya ( Habari na Hoja mchanganyiko) Mkuu MODERATOR nakuomba uitowe hii Thread uipeleke huko kwenye ( Habari na Hoja mchanganyiko) hapa sipo mahali pake asante Mkuu wangu MODERATOR nakutakia kazi njema.
 
Back
Top Bottom