hakuna siku ambayo maji yamefunguliwa yapite tu bila kazi iko HV pale kuna njia mbili za kupitisha maji ili yaelekee kidatu-rufiji mpaka baharini,1 njia kupitia milango ya daraja ambayo IPO 5 mikubwa na mmoja Mdogo,2 hii njia ya pili ndio inayotumika kupitishia maji ili kuzungusha tabani za kuzalisha umeme ambayo sasa ndio IPO kwenye mjadala mzito lakini tatizo lingine kubwa ambalo linamaliza maji kwa wingi ni kilimo cha umwagiliaji kule Mbeya kuna mifereji mikubwa imechepushwa kwa ajili ya mashamba makubwa ya mpunga kipindi waziri mwandosya akiwa ofisi ya makamu rais mazingira alikwenda kuziba ile mifereji maji yalijaa kwa wiki4 tu labda magufuri akaanzie kule bwawa litajaa mapema japo mashamba nasikia niyawakubwa.