Acha TANESCO waendelee na biashara kama wanataka inagwaje najua watafeli tuu, muhimu waruhusu makampuni binafsi wazalishe na wauze umeme, monopoly waliyoipa TANESCO kwa sababu ndio kisima chao cha kuchota ndio sababu kubwa ya TZ kuwa na matatizo ya umeme na uliokuwepo ni very expensive, tunajikomesha wenyewe na sera za kipumbavu na tamaa za watu wachache, kwa sera ya sasa labda uwe mwehu ndio unaweza kuwekeza kwenye umeme TZ