TANESCO wameongeza ufanisi katika 'CUSTOMER CARE'

TANESCO wameongeza ufanisi katika 'CUSTOMER CARE'

NGABAGILA

Senior Member
Joined
May 8, 2020
Posts
114
Reaction score
122
Mnyonge mnyongeni LAKINI haki yake mpeni, pamoja na shida ya kukatika katika kwa umeme lakini wameongeza ufanisi katika 'CUSTOMER CARE' Kwa kutumia nikonect app utapata Huduma UNAYOTAKA.

Mara nyingi nimetumi app hiyo kutoa taarifa changamoto mbalimbali hufika mapema.

Screenshot_20220427-224541.png

HONGERENI TEAM TANESCO HASA UONGOZI UNAOFUATILIA CUSTOMER CARE MKO JUU
 
Mnyonge mnyongeni LAKINI haki yake mpeni, pamoja na shida ya kukatika katika kwa umeme lakini wameongeza ufanisi katika 'CUSTOMER CARE' Kwa kutumia nikonect app utapata Huduma UNAYOTAKA .Mara nyingi nimetumi app hiyo kutoa taarifa changamoto mbalimbali hufika mapemaView attachment 2202899
HONGERENI TEAM TANESCO HASA UONGOZI UNAOFUATILIA CUSTOMER CARE MKO JUU
Hainaga jema hii.. ipe muda tu
 
Back
Top Bottom