TANESCO waliomba, EWURA wakaruhusu, TANESCO wametumbuliwa,EWURA bado

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Hakuna tofauti kabisa nashauri tu wawe wanaanzisha hata tetesi kwanza kupima upepo wakiona kimya wanatangaza.

Tutabaki na maswali mengi kuliko majibu! TANESCO waliomba, EWURA wakaruhusu. TANESCO wametumbuliwa, EWURA bado?

C1FlnJhXAAA0h5e.jpg

IMG_20170101_162106.jpg
 
Back
Top Bottom