TANESCO wakata umeme Karimjee wakati shughuli ya msiba wa Mzee Lowassa ikiendelea

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
TANESCO wakata umeme Karimjee wakati shughuli ya msiba wa Mzee Lowassa ikiendelea

Umeme Tanesco.png
 
Naona TANESCO wameamua kujitoa ufahamu kwa njia ambayo wao wenyewe wanaona inafaa. Yaani wizara yenye kuongozwa na Naibu Waziri Mkuu inashindwa hata kufunika kombe mwanaharamu apite katika hafla nzito na yenye ugeni mzito kama hii!?
 
Afla nzito gani hata umeme uogope kukatika? Weee vipi?
 
Sugu hatakiwi kushangaa kwa hilo, mbona tumeshazoea umeme hukatika mara nyingi majumbani na maofisini kila kisu, kilichotokea hapo msibani ndio kina akisi maisha yetu ya kila siku na Tanesco.

Kama umeme usingekatika hapo msibani mimi ndio ningeshangaa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mchana huu kuaga kwani marehemu aliacha wosia kuwa siku wakimuaga mchana Tanesco ihakikishe umeme upo Wakati Mwanga upo wa jua?
 
TANESCO wakata umeme Karimjee wakati shughuli ya msiba wa Mzee Lowassa ikiendelea

TANESCO kateni Umeme ARUSHA nzima mpaka Mzee wetu atakapozikwa ikiwa ni njia sahihi ya Kumkumbusha skendo aliyotupiga ya RICHMOND tukawa tunalipa Mabilioni hewa kwenye mifuko ya MAFISADI.
Hongera TANESCO kwa salute mliyompa muasisi wa kukatisha maji kwenye mabwawa ili majenereta yafanyekazi.
 
Chadema bhana
 
Nimejihisi furaha sana Kwa umeme kukatika hapo Karimjee inawezekana hata walijisahau kuwa laini ya Karimjee Leo ilitakiwa wasikate ila Mungu kuwa aibisha wakajikuta wamekata,au pia hawa pimbi inawezekana hawaogopi la mhazini Wala mnadi swala,na wanakata tuuuuuu
 
Back
Top Bottom