mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 213
Yaani as if umeme hatununui..... aaaaargh
Hawa watu watakuwa na vielement vya kichawi cz haiwezekani kila siku jumapili asubuhi wanatukatia umeme tuuTanesco km wangaa
Haijui kijichi huyooo!Kama Mbezi vile!Unaijua Kijichi lakini?umefika hadi beach?wengi hamuijui,mazingira,majumba utulivu ni style ya mbezi beach Na sasa hivi mitaa mingi inawekwa lami ujenzi unaendelea
Tembelea Siku moja huku kwa marehemu filikunjombe,kwa zombie nk uone streets Na mashule