Tanesco toeni taarifa mnapokata umeme

Tanesco toeni taarifa mnapokata umeme

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,108
Mnatutia hasara sana.

Kipindi cha JPM mlikuwa mnatoa taarifa siku moja kabla ya kukata umeme ,pia mlikuwa mnakwepa kukata umeme kwa kumuhofia JPM.

Sasahivi kukata umeme siku nzima ni kawaida tena bila kutoa taarifa.

Mnaboa sana nyie watu. I wish Mama afanye mabadiliko TANESCO kuondoa wababaishaji
 
Baada ya miaka mia moja kama sio elfu, hiki kizazi kikiwa kimetoweka.
 
We misomisondo Tanesco umepiga hapo. ‘’Hatukupenda kuwa samia “
 
Back
Top Bottom