Tangu mwaka jana mwezi wa 9, nimemaliza michakato ya kulipia Gharama za kuunganishiwa umeme lakini mpaka leo hii trh 25/04 mbona kimya? nyumba yenyewe nimejenga kwa shida mpaka hapa nilipofikia ingawa haijaisha,na vilevile hela ambayo nimewalipeni nilikopa kwa mtu na mpaka nimemaliza kulipa deni lenyewe UMeme hakuna tatizo nini? nishachukia nirudishieni hela yangu basiiiiiii!