TANESCO taabani; EWURA yaomba kupandisha gharama za umeme!

We unaumwa sio bure,haujasikia wanataka wapunguze bei ya umeme? Si lazima ujue ilipandaje huko nyuma.
Kwa mtu asiyeijua Tanzania ndiye anaweza kukubaliana na 'ombi la tanesco kwenda ewura kupunguza bei za umeme'. Hapa haina haja ya kumuomba Mungu kutupa miaka kumi kuubaini ujanja huu bali kutujalia miezi sita tu ya kuishi na tutaweza kubaini uongo wote huu.
Hivi tujiulize, tanesco wakitaka kushusha bei kuna haja ya kupeleka mamombi ewura!?
Kwa uelewa wangu ni kwamba kama unataka kuweka bei ambayo inazidi bei elekezi (threshold) ndipo unaenda kuomba. Yaani kama vituo vya mafuta, tatizo ni kuuza zaidi ya bei lakini ukishusha haina shida.
 
Back
Top Bottom