kungurumanga
Senior Member
- Sep 4, 2015
- 175
- 44
Takribani ni miaka kumi na tano nipo Songea kila kukicha tatizo la umeme lipo palepale. Ahadi za viongozi wa CCM kutusaidia zimekuwepo wakati wa kampeni tu. Mafundi wa TANESCO kila siku kukata umeme. Serikali mpya ijayo ifanye uchunguzi wa matumizi ya mafuta huwenda yanauzwa mitaani huku migao ya kudumu isiyo na ratiba ikishamiri mitaani, kama imeshindikana nchi kubwa mno igaweni tu.