deezekiels
Member
- Mar 20, 2014
- 42
- 3
Naomba kwa anaejua salary ya Engineer TANESCO anijuze
Maengineer tanesco wako wengi na vitengo tofauti your too general kuna my control engineer anakula mia sita napoittano take home so be specific which kind of engineer
kama ni fresh kutoka chuo ni 1.2 baada ya rotation ya miezi sita kutoka engineer trainee kuwa engineer 1 unakula 1.6 gross, katika watu wanaofaidi maisha kwa tanesco ni idara ya engineering, karibu!Naomba kwa anaejua salary ya Engineer TANESCO anijuze
wacha uongo ww kama hujui kaa kimya kwanza wapi ulickia kuna control engineer?
wacha uongo ww kama hujui kaa kimya kwanza wapi ulickia kuna control engineer?
ahahahahah naona umemwumbua jamaa mi najuaga kuna control room operator
msibishanie upumbavu kama hujui kitu....TANESICO NI SHIRIKA LENYE ENGINEERS WENGI HADI MAENEO USIYOZANIA..,
Wapi umewah sikia kuna customer service engineer? Mbona tanesco customer care inaongozwa na ma engineers, so hata hyo ya control
anaitwa operations engineer na siyo control engineer, na pia hiyo ya customers service engineer ilikuwepo enzi za mwalimu cku hizi nafasi zao zimechukuliwa na Custumer Relations Officers na hawa ni watu wa marketing!