Tanesco nisaidieni haraka

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,098
8,727
Nimenunua luku nikaambiwa kuwa natakiwa kupata namba ya kufungua tafadhali nisaidien maana hiyo namba nimeambiwa kuwa nipge no hii ila kila nikipiga haipatikani,

0689 077460.

Please help me guys.
 
Nimenunua luku nikaambiwa kuwa natakiwa kupata namba ya kufungua tafadhali nisaidien maana hiyo namba nimeambiwa kuwa nipge no hii ila kila nikipiga haipatikani,

0689 077460.

Please help me guys.
Ulete mrejesho..!
 
Nenda ukanunue kwenye ofisi zao au kwenye vituo vya mawakala wao (vending stations) utapata huduma hiyo.
 
yani awa jamaa, ni weu kweli siku ya pili wananilaza giza, luku ninayo mkononi ina unit 78, etti kisa sina namba za kufungua luku yangu.napiga namba za o hazipatikani na hiyo niliyopewa na wadau, naambwa nipge no hiyohiyo, ambayo haipatikani ewani
 
Back
Top Bottom