TANESCO Mwanza mnachosha

TANESCO Mwanza mnachosha

fidelity

Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
91
Reaction score
12
Tabia hii mbaya imekua kama mazoea sasa.

Mitaa ya MALIMBE na maeneo yote ya chuo kikuu cha SAUT hukatiwa umeme kila siku kuanzia asubuhi sana mpaka jioni ya saa 12 bila taarifa yoyote.

Tunashindwa kuelewa shida ni nini? kuna mgao?, kuna matengenezo?, ama ni interest tu za watu wachache kuharibu nchi?

wanachuo wapo kwny mitihani, cku hizi wanasoma kwa digital, stationaries hazifanyi kazi, library pamenuna vipi TANESCO?

HII NI TABIA MBAYA NA KUNA WATU WANATAKIWA WAWAJIBIKE KWA HILI, HIZI NI SALAMU ZA MWANZO KWA WATENDAJI WA TANESCO MWANZA.
 
kweli ndugu, siku hizi hapa Malimbe umeme umekuwa adimu sana, hasa kipindi hiki ambacho watu tupo kwenye pepa, ni shidaaa
 
Sio kwenu tuu.
Mimi nipo huku Afaghanistan kwasasa,TANESCO pia wamekata umeme.
 
Na sio uko2 ata huku mitaa ya igoma imekua hivyo wamepandisha bei bila kuboresha huduma yani mnachosha sana mnatuharibia nchi
 
Back
Top Bottom