Tanesco mwanza hawakumwelewa Ngeleja.

mjeledi

Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
11
Points
0

mjeledi

Member
Joined Mar 14, 2011
11 0
Kabla ya kauli ya Ngeleja kuhusu kupungua Kwa mgawo wa umeme,wakazi wa bwiru tulikuwa twatendewa haki sana.
Ila baada tu ya kauli ya ngeleja makali ya mgawo yamezidi na sasa twapata umeme kwa usiku kuanzia saa 4 na kuzimwa saa 12 asubuhi.
Mathalani,jana umeme umekatwa saa 12 na ukarudi saa 9 mchana,baada ya nusu saa wakaukata tena na kuurudisha saa 4:30 usiku.na ilipofika saa 12 asubuhi wamekata tena.
Hapa najiuliza tatizo ni mgawo au sisi watu wa bwiru tumewakosea nini Tanesco.
Tendeni haki tafadhali.
Na wewe Ngeleja hebu acha kutoa kauli za matumaini wakati ndio mnazidisha makali ya mgawo.
 

Forum statistics

Threads 1,379,716
Members 525,529
Posts 33,754,161
Top