Kankra
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 203
- 140
*TANESCO NA REA WILAYA YA MULEBA MKOANI KAGERA MNAMUANGUSHA MH.RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI*.
.
TRANSFORMER ILIYOPIGWA NA RADI MIEZI KARIBU MIWILI KATA KAGOMA ILITAKIWA KUWA IMEREJESHWA.
Ni miezi takriban miwili sasa Wananchi wa Kata Kikuku na Kagoma wapo Gizani kwa kukosa huduma ya UMEME na kupelekea kuanza kuichukia serikali kwa sababu ya watu wachache wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao.
.
Ifahamike kuwa Kagoma ni miongoni mwa vijiji ambavyo vilianza kunufaika na mradi wa REA wa awamu ya Kwanza na zaidi huduma hii imewafikia wakazi wengi chini ya Uongozi mahiri wa Dr.John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
.
Juhudi hizi zimeungwa sana mkono na Mbunge wa MULEBA KASKAZINI Ndg.Charles Mwijage kwa kiwango kikubwa ikiwa ni sehemu ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
.
WANANCHI sasa wanajiuliza kama Serikali hii iliyoamua kuwaletea maendeleo sasa kupitia TANESCO/REA wilaya ya MULEBA imeamua kuwaweka gizani ambako hawakuwahi kuwaza kurejea leo wala kesho kwani wanatambua upo uongozi makini unaowajali na kuwapatia huduma stahiki.
.
WITO wangu kwa Uongozi wa Wilaya ya MULEBA ni kuona ni namna gani bora wanaweza kufanya ili kuwaondoa gizani watu wa kata KAGOMA. Najua utendaji bora wa Mh.Mkuu wa Wilaya ya MULEBA na ni matumaini yangu hili atalisimamia kwa nguvu zote.
.
Mbunge wetu Charles Mwijage,Diwani wetu Chrisant Kamugisha,Meneja wa TANESCO WILAYA pamoja na uongozi wa Chama Cha Mapinduzi WIlaya ya MULEBA chini ya Mwenyekiti Shupavu ATHUMAN KAHARA mnatakiwa kuwarudisha wananchi wetu katika Imani ya kuona miradi mingi iliyowapa nafuu ya Maisha chini ya uongozi wa Rais wetu mpendwa Dr.JPM inaendelea kuwanufaisha na kuwaondoa kwenye lindi la UMASKINI.
.
Kama Upatikanaji wa TRANSFORMER Mpya umekuwa kikwazo tunaomba mtufahamishe wadau wa Maendeleo kata KAGOMA tujue namna bora ya kuipata na kuwapatia ili muifunge kwa maslahi mapana ya wananchi wa Kagoma.
NAWATAKIA KAZI NJEMA.
Omary Rwakyaya
0769010369
TARIME
#MulebaNiYetuSote
#UmemeKagomakwetu