The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
Juzi nilitoa maoni tanesco wanavyokata kodi nilienda kununua umeme wa elfu 30 walikata kodi karibu elfu 6'leo nimenunua wamenikata vat ya sh 13000 nilitoa elfu 70'sijui kama tutaweza kuishi mambo yenyewe hv
Piga picha bana kwa kutumia camera ya simu alafu iweke hapa jamvinibahati mbaya sina scanner but nitajitahidi muone hayo madudu hali inatsha
Ukitoa 30,000
VAT(18%) (5,400)
EWURA(4%) (1,200)
MANISAPAA(2.5%) (750) (7,350)
ALBAKI 22,650
UNAPATA UNITS(@159/=) 142
Kwa kifupi mahesabu yanaweza kuwa kama hivi
KAMA UNANUNUA UMEME KWA KUTOA SHS. 70,000.00
X + (18%VAT + 1%EWURA + 3%REA)X = 70,000.00
NOTE: Hapo sijaweka SERVICE CHARGE
X + (0.18+0.01+0.03) X = 70,000.00
X + 0.22X = 70,000.00
X = 70,000.00/1.22
X = Shs. 57,377.05
Kwa hiyo Kodi ambayo ni 22% (VAT+EWURA+REA) ni kama Shs. 12,622.95, kumbuka sijaweka SERVICE CHARGE.
KAMA UNANUNUA UMEME KWA KUTOA SHS.30,000.00
X = 30,000.00/1.22
X = Shs. 24,590.16
Kwa hiyo Kodi ambayo ni 22% (VAT+EWURA+REA) ni kama Shs. 5,409.84, kumbuka sijaweka SERVICE CHARGE.
Naelewa kuwa ya kwako ni sahihi kwa vile VAT inapaswa kuwainclusive...TANESCO hawafanyi hivyo
Ukitoa 30,000
VAT(18%) (5,400)
EWURA(4%) (1,200)
MANISAPAA(2.5%) (750) (7,350)
ALBAKI 22,650
UNAPATA UNITS(@159/=) 142
kaka huu ni mwaka wa kifo hiyo bili niliyoipokea mimi mpaka niliogopa, maana nilikuwa nalipa elfu 90, ila nimepokea bili tarehe 15 january imepanda mpaka 130,000/- kwa mwezi..nilisikia hasira lkn ntafanya nn ukilalamika tanesco wanakwambia tutakukatia umeme.this is hell..nchi hii tumelala sana hatuna umoja kabisa mambo kama haya ni ya kupinga kwa nguvu zote, ukombozi hauji ukiwa umelala,,lazima kupigana ili uweze kujikomboa...sijui lini tutafika..
Hawa Jamaa Tanesco wezi kabisa sasa inabiidi tununue kwa kutumia Simu zetu nafikiri hakuna makato kama hayo.
Piga picha bana kwa kutumia camera ya simu alafu iweke hapa jamvini
Hivi base ya kukototoa hayo mahesabu ni ipi? Huwezi kuanza na shs 30,000 ulizotoa halafu uweke VAT ya 18% uitoe tena kwenye shs 30,000. Nadhani hayo ni makosa. Mfano rahisi, kama ni VAT tu ndio inakatwa, ukitoa shs 30,000, pesa za kulipia umeme ni Shs 25,423.73 VAT yake ikiwa 18% ambayo ni shs 4,576.27, jumla shs 30,000, na sio shs 30,000 toa shs 5,400 unabakiwa na shs 24,600 tu ambazo ni kidogo zaidi. Nadhani mahesabu yangekuwa kama ifuatavyo:
Pesa ya Umeme = Shs 24,096.39 ( tofauti na shs 22,650)
VAT (18%) 4,337.34
EWURA (4%) 963.85
Manispaa (2.5%) 602.42
Jumla 30,000.00
Nime-assume kuwa hizi rates sio compounded.
Kwa nini hao EWURA na manispaa wasilipwe ndani ya hiyo VAT? Ni wananchi gani waliwahi kukaa na kukubaliana kwamba ianzishwe EWURA?
Sijakuelewa. Ebu cheki hii
HII NI YA KIPINDI CHA NYUMA (VAT ilikuwa 20% na EWURA 1%)
KALIPA SHS. 10,000.00,
Kwenye shs. 10,000.00 imekatwa shs. 2,786.63 kama FIXED COSTS COLLECTED ikiwemo 20%VAT na 1%EWURA ikabakia 7,213.37
X + (0.20+0.01) X = 7,213.37
X + 0.21X = 7,213.37
X = 7,213.37/1.21
X = Shs. 5,961.46
21% (VAT+EWURA) = 7,213.37 5,961.46
Kwa hiyo Kodi 21% (VAT+EWURA) ni Shs. 1,251.91
Naenda Mabibo External kuangalia uwezekano wa kupata umeme wa upepo ,kwani naona wakulu wamekaa kimya hawana utatuzi wa hili suala,toke Mwinyi,Mkapa na sasa Jakaya naona ni ngonjera tu,siamini kama wote hao walishindwa kutatua hili tatizo ,naona wamelifanya kama ndio vi EPA vyaoJuzi nilitoa maoni tanesco wanavyokata kodi nilienda kununua umeme wa elfu 30 walikata kodi karibu elfu 6'leo nimenunua wamenikata vat ya sh 13000 nilitoa elfu 70'sijui kama tutaweza kuishi mambo yenyewe hv
Hivi base ya kukototoa hayo mahesabu ni ipi? Huwezi kuanza na shs 30,000 ulizotoa halafu uweke VAT ya 18% uitoe tena kwenye shs 30,000. Nadhani hayo ni makosa. Mfano rahisi, kama ni VAT tu ndio inakatwa, ukitoa shs 30,000, pesa za kulipia umeme ni Shs 25,423.73 VAT yake ikiwa 18% ambayo ni shs 4,576.27, jumla shs 30,000, na sio shs 30,000 toa shs 5,400 unabakiwa na shs 24,600 tu ambazo ni kidogo zaidi. Nadhani mahesabu yangekuwa kama ifuatavyo:
Pesa ya Umeme = Shs 24,096.39 ( tofauti na shs 22,650)
VAT (18%) 4,337.34
EWURA (4%) 963.85
Manispaa (2.5%) 602.42
Jumla 30,000.00
Nime-assume kuwa hizi rates sio compounded.
Pole sana ndugu yangu. Watanzania tumelala. Ingekuwa nchi za wenzetu, mama yangu, hakika moto ungewaka.