kaazi kweli kweli yani,lakini safi sana hakuna mtanzania wa kuandamana kupinga hilo!
Ukiitisha maandamano unaitwa mleta fujo,wenzetu msumbiji mkate tu ulipanda bei wakaandamana!
Anyway,tuendelee kuvuta kamba kila mtu,itakapo katikia ndo tutajua cha kufanya maana ni kama wooooote ni matajiri tanzania,
so bei ikipanda tunakomoana,hivi na flani ata survive kweli?
Haya,ngoja tuone nani ataanza ku-give up