Tanesco mnaboa

Tanesco mnaboa

Joined
Sep 22, 2011
Posts
33
Reaction score
2
Habari zenu wana JF! Mi ni buheri wa afya! Nmesimama katika jukwaa hili kuweza kuleta mada ambayo ningependa ijadiliwe kiundani! MADA:Hivi unapoenda TANESCO na kutaka uwekewe huduma ya umeme nyumbani kwako na kuambiwa ununue nguzo hili swala linamaana gan? Na kama mwananchi anatakiwa anunue nguzo je TANESCO kazi yao ni nini? Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom