Wana jf..kwa kweli hawa tanesco sasa wamezidi kipimo wanatukatia sn umeme segerea bila sbb , kwa sasa imekuwa ndio mchezo hawana taarifa na wala hawaapologize. Haya muda huu hamna mvua wala upepo wamekata...tumewachoka.
itakuwa mji mzima mikongeni pia hola.