TANESCO mmetusahau Dodoma?

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
Ratiba yenu ilionyesha tarehe 18/10 mtakuwa mmeshawasha mitambo yenu yote inayotumia gass na hakuta kuwa na mgao lakini mpaka leo tarehe 19/10 mgao upo palepale wakati mikoa mingine kama Dar wameshasahau mgao au kwa kuwa wanajua kupiga kelele?

Acheni uhuni Dodoma mpaka leo miezi sita sasa mgao upo vilevile au hujuma?
 
Sio Dodoma tu hata kwetu Tunduma umeme bado Ni kero miezi mitano sasa bado Ni ndoto
 
ratiba yenu ilionesha tarehe 18/10 mtakuwa mmeshawasha mitambo yenu yote inayotumia gass na hakuta kuwa na mgao lakini mpaka leo tarehe 19/10 mgao upo palepale wakati mikoa mingine kama dar wameshasahau mgao au kwa kuwa wanajua kupiga kelele? acheni uhuni dodoma mpaka leo miezi sita sasa mgao upo vilevile au hujuma?

Wapigieni kura tena CCM muwarudishe madarakani, maana Watanzania siku zote hulalamikia hali ngumu ya maisha lakini ufikapo wakati wa uchaguzi matatizo yote huwa wanaona yameisha wanaipigia CCM kuiridisha madarakani.
 
Dodoma si ndio shamba la mataahira ya ccm! Ngoja mnyooshwe tu akina mbukwenyi!
 
Mimi ni mmoja wa watu ninayefuatilia kila taarifa na sasa ninafuatilia kauli ya mzee Kingunge ambaye najua alikuwa kwenye system alisema" CCM Imeishiwa pumzi" haina uwezo tena ya kuendesha nchi. ijapokuwa naamini hili jambo si la kisiasa bado ninaamini utatuzi wake ni wa kisiasa. BILA KUBADILISHA UONGOZI WA NCHI TUTAENDELEA KUJUTA. serikari imechanganyikiwa haijui lipi muhimu sasa.
 
Wapigieni kura tena CCM muwarudishe madarakani, maana Watanzania siku zote hulalamikia hali ngumu ya maisha lakini ufikapo wakati wa uchaguzi matatizo yote huwa wanaona yameisha wanaipigia CCM kuiridisha madarakani.

tutaipigia tu ccm tatizo mabwawa hayana maji kabisa kwa uhaba wa mvua msimu uliopita.

usilete hadithi ya mvuvi aliokosa samaki baharini kwa ajili ya upepo wa kusi anataka serikali iwafanyie mpango wapate samaki
 
kweli hili ni taahira hata alijielewi.. maskini tanzania raia wake uelewa wao ni mdogo nno
 
Mimi ni mmoja wa watu ninayefuatilia kila taarifa na sasa ninafuatilia kauli ya mzee Kingunge ambaye najua alikuwa kwenye system alisema" CCM Imeishiwa pumzi" haina uwezo tena ya kuendesha nchi. ijapokuwa naamini hili jambo si la kisiasa bado ninaamini utatuzi wake ni wa kisiasa. BILA KUBADILISHA UONGOZI WA NCHI TUTAENDELEA KUJUTA. serikari imechanganyikiwa haijui lipi muhimu sasa.

mkuu ww unamatatizo miaka yote tunatumia umeme wa maji mabwawa yote hayana maji mvua hazikunyesha msimu uliokwisha mbona akili za tiamajitiamaji na ndio maana nazungumzia gass
 
Ratiba yenu ilionyesha tarehe 18/10 mtakuwa mmeshawasha mitambo yenu yote inayotumia gass na hakuta kuwa na mgao lakini mpaka leo tarehe 19/10 mgao upo palepale wakati mikoa mingine kama Dar wameshasahau mgao au kwa kuwa wanajua kupiga kelele?

Acheni uhuni Dodoma mpaka leo miezi sita sasa mgao upo vilevile au hujuma?

Hasira tumalizie tarehe 25 October kwa kumchagua Lowassa kama Raisi na Kigaila kama Mbunge na Madiwani wa UKAWA
 
Ratiba yenu ilionyesha tarehe 18/10 mtakuwa mmeshawasha mitambo yenu yote inayotumia gass na hakuta kuwa na mgao lakini mpaka leo tarehe 19/10 mgao upo palepale wakati mikoa mingine kama Dar wameshasahau mgao au kwa kuwa wanajua kupiga kelele?

Acheni uhuni Dodoma mpaka leo miezi sita sasa mgao upo vilevile au hujuma?

Dar wamekata huku mtoni kijich hatuna umeme muda huu.
 
Back
Top Bottom