Kama ni kuanzia asubuhi hii sawa. Hata hivyo na wewe mkuu kama tatizo ni la asubuhi hii pekee kwanini usivute subira kidogo?Mkuu soma vizuri thread bhana. Na kazungumzia jana? Nimesema kuanzia asubuhi hii..
nakuona na pozi la sikukuu mama la mama.Kama upo Dar, mtume mtu alie mkoani akununulie.
Ilipotokea pia mwezi huu nilishauri watu ili na wakaupata.
TANESCO and specifically Muhaji,kama hii ni kweli it is a grave violation of work ethics and in particular good customer care ethics.Please come out of the closest and inform your customers what is happening and when the service will be back.
Halafu mkitumbuliwa eti oh,JPM mbaya,mengine tunayataka wenyewe.Lakini kwa nini mnamtia Rais majaribuni?
kwani hiyo server hipo mule kwenye jengo.kuna vitu vinaendeshwa kipuuzi .kama jengo linge ungua na hiyo server hipo hapo.si ndo tanzania nzima tuna kaa gizaniWakati zoezi la ubomoaji wa jengo la Ofisi za TANESCO makao makuu Ubungo kwa wakati ule wa kuhamisha mifumo ya Luku, kulikuwa na taarifa kwa wananchi kwamba huduma ya kununua umeme wa Luku itasitishwa kwa muda kadhaa.
Leo hii huduma ya kununua umeme wa Luku kwenye makampuni ya simu haipatikani, na nimewasiliana na moja ya Kampuni akanithibitishia kuwa ni kweli huduma hiyo haipatikani sasa lakini tatizo lipo katika shirika la umeme TANESCO.
Sasa kwa kwanini hakuna taarifa kwa wananchi kuhusu huduma hii ili watu wapate kujua huduma hii itarejea muda gani? Au mnahisi watu wanalalamika, acheni usumbufu na ubabaishaji, fanyeni mambo kwa weledi na kisomi na kisasa zaidi wajulisheni wateja wenu na wananchi kwa ujumla
Sidhani kama hii taarifa yako ina ukweli aisee banaThread ya leo au jana? Soma kwa uangalifu halafu toa maoni yako itakusaidia mbeleni
Sikushikii fimbo kuamini iache kama ilivyo taarifa. Nimejaribu kununua mara kadhaa asubuhi hii nikadhani labda tatizo liko kwenye kampuni ya simu nikawasiliana nao wakasema nilivyo sema hapo kwenye thread.Sidhani kama hii taarifa yako ina ukweli aisee bana
Inawezekana hiyo?
nakuona na pozi la sikukuu mama la mama.
VodacomUmenunua kwa kutumia kampuni gani?
...Uko sahihi mimi hapa Moro juzi nimenunua Luku as usualKama upo Dar, mtume mtu alie mkoani akununulie.
Ilipotokea pia mwezi huu nilishauri watu ili na wakaupata.
Mbona mimi nimenunua kwa Tigo Pesa leo saa moja asubuhi?Wakati zoezi la ubomoaji wa jengo la Ofisi za TANESCO makao makuu Ubungo kwa wakati ule wa kuhamisha mifumo ya Luku, kulikuwa na taarifa kwa wananchi kwamba huduma ya kununua umeme wa Luku itasitishwa kwa muda kadhaa.
Leo hii huduma ya kununua umeme wa Luku kwenye makampuni ya simu haipatikani, na nimewasiliana na moja ya Kampuni akanithibitishia kuwa ni kweli huduma hiyo haipatikani sasa lakini tatizo lipo katika shirika la umeme TANESCO.
Sasa kwa kwanini hakuna taarifa kwa wananchi kuhusu huduma hii ili watu wapate kujua huduma hii itarejea muda gani? Au mnahisi watu wanalalamika, acheni usumbufu na ubabaishaji, fanyeni mambo kwa weledi na kisomi na kisasa zaidi wajulisheni wateja wenu na wananchi kwa ujumla
Mkuu inawezekana anajua au hajui.Tatizo la luku, tena within a short period,possibly hajui.Acheni ufala,,kwani Huyo Rais hajui hayo mnadhani? Anajua sana kinachoendelea, ,
Ni kweli mkuu,ila dah,wakati mwingine huruma.Tatizo ni kwamba wao wanapokusudia kupiga ubinadamu wanaweka kando.Mkuu.. Ni vema ukapasua mbarika kuliko kuogopa kuwa watatumbuliwa, hayo ndo yanayosababisha watendaji kufanya kazi kwa mazoea na wananchi kukosa huduma muhimu
Inawezekana tena inasaidiaInawezekana hiyo?
kila kinachoendelea ndani ya nchi Rais anapata taarifa kabla yako chief,,, hapo ulipo nae yupo kwa namna tofauti,, ILE kujifanyaga kuwa hawajui jambo fulani na kumtumbua mtu wa Idara husika, , inakuwaga ni siasa tu kutafuta KIKI ,, Rais anajua kila kinachoendelea, ,,kwenye kila sekta WaPo wazee wa umbea wanampa taarifa ya kila kituMkuu inawezekana anajua au hajui.Tatizo la luku, tena within a short period,possibly hajui.