TANESCO mmesitisha huduma ya kununua umeme wa Luku mbona hakuna taarifa kwa wananchi?

Me mbona jana saa saba mchana nimenunua umeme kwa mpesa nikapata units na nikaingiza kwenye mita ika accept...sasa hii taarifa yako sijaielewa
Thread ya leo au jana? Soma kwa uangalifu halafu toa maoni yako itakusaidia mbeleni
 
Mkuu soma vizuri thread bhana. Na kazungumzia jana? Nimesema kuanzia asubuhi hii..
Kama ni kuanzia asubuhi hii sawa. Hata hivyo na wewe mkuu kama tatizo ni la asubuhi hii pekee kwanini usivute subira kidogo?
 
TANESCO and specifically Muhaji,kama hii ni kweli it is a grave violation of work ethics and in particular good customer care ethics.Please come out of the closest and inform your customers what is happening and when the service will be back.

Halafu mkitumbuliwa eti oh,JPM mbaya,mengine tunayataka wenyewe.Lakini kwa nini mnamtia Rais majaribuni?

Acheni ufala,,kwani Huyo Rais hajui hayo mnadhani? Anajua sana kinachoendelea, ,
 
Wakati zoezi la ubomoaji wa jengo la Ofisi za TANESCO makao makuu Ubungo kwa wakati ule wa kuhamisha mifumo ya Luku, kulikuwa na taarifa kwa wananchi kwamba huduma ya kununua umeme wa Luku itasitishwa kwa muda kadhaa.

Leo hii huduma ya kununua umeme wa Luku kwenye makampuni ya simu haipatikani, na nimewasiliana na moja ya Kampuni akanithibitishia kuwa ni kweli huduma hiyo haipatikani sasa lakini tatizo lipo katika shirika la umeme TANESCO.

Sasa kwa kwanini hakuna taarifa kwa wananchi kuhusu huduma hii ili watu wapate kujua huduma hii itarejea muda gani? Au mnahisi watu wanalalamika, acheni usumbufu na ubabaishaji, fanyeni mambo kwa weledi na kisomi na kisasa zaidi wajulisheni wateja wenu na wananchi kwa ujumla
kwani hiyo server hipo mule kwenye jengo.kuna vitu vinaendeshwa kipuuzi .kama jengo linge ungua na hiyo server hipo hapo.si ndo tanzania nzima tuna kaa gizani
 
Sidhani kama hii taarifa yako ina ukweli aisee bana
Sikushikii fimbo kuamini iache kama ilivyo taarifa. Nimejaribu kununua mara kadhaa asubuhi hii nikadhani labda tatizo liko kwenye kampuni ya simu nikawasiliana nao wakasema nilivyo sema hapo kwenye thread.
 
Wakati zoezi la ubomoaji wa jengo la Ofisi za TANESCO makao makuu Ubungo kwa wakati ule wa kuhamisha mifumo ya Luku, kulikuwa na taarifa kwa wananchi kwamba huduma ya kununua umeme wa Luku itasitishwa kwa muda kadhaa.

Leo hii huduma ya kununua umeme wa Luku kwenye makampuni ya simu haipatikani, na nimewasiliana na moja ya Kampuni akanithibitishia kuwa ni kweli huduma hiyo haipatikani sasa lakini tatizo lipo katika shirika la umeme TANESCO.

Sasa kwa kwanini hakuna taarifa kwa wananchi kuhusu huduma hii ili watu wapate kujua huduma hii itarejea muda gani? Au mnahisi watu wanalalamika, acheni usumbufu na ubabaishaji, fanyeni mambo kwa weledi na kisomi na kisasa zaidi wajulisheni wateja wenu na wananchi kwa ujumla
Mbona mimi nimenunua kwa Tigo Pesa leo saa moja asubuhi?
IMG_20171225_102024.jpg
 
Mkuu.. Ni vema ukapasua mbarika kuliko kuogopa kuwa watatumbuliwa, hayo ndo yanayosababisha watendaji kufanya kazi kwa mazoea na wananchi kukosa huduma muhimu
Ni kweli mkuu,ila dah,wakati mwingine huruma.Tatizo ni kwamba wao wanapokusudia kupiga ubinadamu wanaweka kando.
 
Mkuu inawezekana anajua au hajui.Tatizo la luku, tena within a short period,possibly hajui.
kila kinachoendelea ndani ya nchi Rais anapata taarifa kabla yako chief,,, hapo ulipo nae yupo kwa namna tofauti,, ILE kujifanyaga kuwa hawajui jambo fulani na kumtumbua mtu wa Idara husika, , inakuwaga ni siasa tu kutafuta KIKI ,, Rais anajua kila kinachoendelea, ,,kwenye kila sekta WaPo wazee wa umbea wanampa taarifa ya kila kitu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom