The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
niko hapa kutatua na kukusikiliza kama una Tatizo lolote na huduma za TANESCO. Nieleze una Tatizo gani niweze kukusaidia Tafadhali na si vinginevyo, ni vyema ukajaribu kutumia Lugha ya Staha ndugu mteja. karibu sana kama una tatizo lolote tutakusaidia kama zinavyoelekeza taratibu na kanuni za utoaji huduma za shirika.
Mawazo John;
Tatizo langu na I hope na la wengine ni umeme wa uhakika, hakuna jingine!
Tutazungumza lugha ya staha kama na ninyi TANESCO na pengine serikali kwa ujumla mtakuwa wa kweli na kutuheshimu sisi wateja wenu.
Haiwezekani mtu ambaye jana alikuja na sababu hii ya kushindwa kufanya jambo flani akajitetea na kueleweka, kesho akaja na sababu nyingine ya kushindwa kufanya jambo lile lile halafu uendelee kumstahi!
Inawezekana katika mazingira flani tu, lakini ktk mazingira mengine ni impossible!
Mpaka tulipofikia hapa kwa ishu ya umeme TANESCO na serikali hamstahili kupewa staha bali mnastahili kuadhibiwa kwa sbabu sasa imeshakuwa too much, hamvumiliki!!