TANESCO mbona aibu

TANESCO mbona aibu

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Kwa muda wa siku kadhaa ifikapo majira ya jioni tunakosa umeme maeneo ya External hadi Ubungo Darajani.

Sijaona tangazo au taarifa iliyotolewa ili sisi wadau tufahamu tatizo. Taa za barabarani pia haziwaki na kuzingatia Ubungo ni lango kuu la kuingia jijini na kunakuwa na msongamano wa watu ni hatari kwa usalama pia.
 
Back
Top Bottom