TANESCO, Mbezi Mwisho tumewakosea nini?

TANESCO, Mbezi Mwisho tumewakosea nini?

Latoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
660
Reaction score
457
Ni siku ya pili sasa twalala gizani, tatizo ni nini? Mbona hamtoi taarifa? Ama huku kwetu makabwela tuko wengi? Duh nimemkumbuka prof muhongo, haya pigeni dili tu ila tutaonana Oktoba....
 
Na mwisho wa mwezi wanakata service charge kama kawaida bila aibu yaani wanakera!!!
 
Sio mbezi mwisho tu, baadhi ya maeneo kimara tangu asubuhi hadi sasa bado
 
Umeshasema mbezi mwisho jua uko mwisho kweli
 
Hata maramba mawili kila asubuhi huwa wanakata na kuurudisha usiku wa manane. Kama kuna tatizo si watangaze?
 
Ivi katika hizi harakati za hapa kazi tu za mh raisi hajaona bado umuhimu wa kuwakazisha tuu matanesco?Arusha asee dunia nzima tunateswa na hawa jamaa
 
cha maana wajue wananchi mnahasira sana lipueni kwa mabomu vituo vya TANESCO wajifunze na huo ujinga wataacha
 
Back
Top Bottom