MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,191
- 7,310
habari wadau.
najua wengi tumeshtuka ceo wa tanesco kutolewa..
kwa maoni yangu kama kweli tunataka mabadiliko tanesco management yote ina weakeness nyingi sana...
kwanza wanalalamika swala la kuibiwa umeme na umeme mwingi unapotea kwa kuibiwa lakini hakuna hatua yoyote effective iliyochukuliwa..
yaelekea huyo director wa kulinda mali za tanesco huwa hana kpi inayompima..
mfano hai angalia makampuni ya simu voda, airetel, tigo etc jinsi wanavyochukua hatua na wanavyolinda hata site zao.. kila mnara una mfumo mkali wa ulinzi hadi vijijini... hii ni sababu kwamba kukiibiwa tu moto unawaka hadi kwa director hajaperform..
namba mbili angalia mfumo wao wa kukusanya mapato na matumizi.. utagundua kuna weakness.. hata ukienda tanesco kupata huduma ni kama unawabembeleza wakusaidie kumbe ni biashara... hadi uwaonge ndio waje kukufungia umeme kwa wakati...
wakati wakifunga umeme mapema wanaongeza idadi ya wateja wa kuwaletea mapato... hivi kweli voda au airtel utake kufungiwa simu au huduma yeyote jinsi unavyogombaniwa na fasta fasta unapata huduma sababu hawataki kupoteza mapato..
mwisho kabisa jinsi ambavyo hawako makini ku cut cost.. tanesco management imeonesha uzembe sana...
mtu upo kwenye kipindi kigumu.. unajiendesha kwa hasara na bado unagawa unit 700 ( ambazo thamani yake ni karibu laki 3) kila mwezi kwa staff wako zaidi ya 5000 bure bure tu... huu si ujinga usiohitaji digrii kuugundua..
najua tutasema bonus yao ila sizani kama kuna kampuni duniani inatoa bonus hata kipindi ambapo inapata hasara kama ipo naomba tuitaje...
management pia ya tanesco inapwaya sana kwenye customer service... yaani hili sihitaji kulielezea najua kila mtu analijua...
kwa maoni yangu shirika kama tanesco lilipaswa lifanyiwe restructuring kubwa sana kuanzia top levels mpaka levo za wilayaniiii..
dunia inakimbia kwa spidi sana nowdays.. watu wasioweza mbio wakae pembeni.... marekani na ulaya wameendelea sababu ya kuwa wanabadilika badilika kutokana na kasi inavyoenda...
mtu yoyote afanye mfano leo kwa kupiga namba ya tanesco customer care na kuomba huduma yeyote ya dharura utaona watakuja saa ngapi??? utajua tatizo lipo wap