Mrejesho: Nimepiga simu customer service hatimaye nimempata mhudumu ambaye kanieleza kuna deni la jengo ambalo sijalipa zaidi ya mwaka (sijui waliniruhusu kununua vipi umeme siku zote hizo) hivyo wamelifufua na nisinunue umeme chini ya kiwango fulani ili kulipa deni hilo. Baada ya kufanya hivyo nikafanikiwa kupata token.