TANESCO lile suala la kuingiza umeme bila token liliishia wapi?

TANESCO lile suala la kuingiza umeme bila token liliishia wapi?

Lembebez

Member
Joined
May 14, 2023
Posts
34
Reaction score
26
TANESCO, hivi hii iliishia wapi?
Screenshot_2023-10-09-05-18-32-031_com.whatsapp.jpg
 
Hiyo TANESCO ya Kipara na jamaa yake ilikuwa Futuhi tosha!

Nusu ya mitambo haifanyi kazi na mgao wa umeme saa 12 daily ila TANESCO ikapata faida kwa mara ya kwanza.

Ngoja tusubiri reports za CAG!
 
Back
Top Bottom