TANESCO kukata umeme wakati wa mpira imekaaje?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,550
1,422
Poleni na uchovu wakuu.

Kumekuwa na kamchezo ka TANESCO kukata umeme wakati wa mpira kisha kurudisha mpira ukiisha.

Swali langu ni je wana fanya hivyo kwa maslahi ya nani labda?

Je, umeme una zidiwa wakati wa mpira kisha ukiisha unakuwa high?

Je, ni agizo la serikali au ni maamzi yao binafsi?

Je, wana lipwa na wamiliki wa vibanda umiza ili watu wajae kwa wingi?

Je, Serikali inalijua hili kama ndiyo je wao wamelizika na huu mchezo?

Je, shughuli zote zihitajizo umeme ni mipira tu au? mimi pia ni shabiki ila isiwe kikwazo kwa watu wengine.

Je, kuna ulazima wa kila mtu kushangilia mpira?
 
Aka ka mchezo huku kanda ya ziwa kapo miaka ming tu cjui kwa mikoa mingne
 
Back
Top Bottom