Tanesco Katika Ubora Wenu !

Tanesco Katika Ubora Wenu !

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,556
Tokea saa 8 mbagala Kijichi Hatuna Umeme hadi saa hizi inaenda saa tano na si Leo tu wiki yote ni kubahatisha tu unakatwa unarudi na joto hili aisee mnatutesa sana !
Mbaya zaidi hakuna taarifa kwa nini mmekata na mtarudisha lini, saa ngapi..
Sijui tumekatiwa huku tu au ni mji mzima wa Dar es Salam ?
 
Nguzo za umeme zimeshaanza kusimikwa kwenye ule mradi wetu wa treni za mwendo kasi... Zikianza kufanya kazi umeme utakuwa ni wa uhakika mtasahau hizo shida zote wana Dar es salaam
 
Tokea saa 8 mbagala Kijichi Hatuna Umeme hadi saa hizi inaenda saa tano na si Leo tu wiki yote ni kubahatisha tu unakatwa unarudi na joto hili aisee mnatutesa sana !
Mbaya zaidi hakuna taarifa kwa nini mmekata na mtarudisha lini, saa ngapi..
Sijui tumekatiwa huku tu au ni mji mzima wa Dar es Salam ?
Lumo pia tunachezea joto tangu saa 8 mchana paka sasa
 
Ni maeneo mengi tu yatanzania wiki hii kuna matatizo ya umeme,
 
Tokea saa 8 mbagala Kijichi Hatuna Umeme hadi saa hizi inaenda saa tano na si Leo tu wiki yote ni kubahatisha tu unakatwa unarudi na joto hili aisee mnatutesa sana !
Mbaya zaidi hakuna taarifa kwa nini mmekata na mtarudisha lini, saa ngapi..
Sijui tumekatiwa huku tu au ni mji mzima wa Dar es Salam ?

Na hapo ni awamu ya 5, imagine ingekuwa ya 4
 
Hahaha mgesema nchi nzima tu, maana naona vitongoji vinaongezeka.
Mi nadhani kunahaja, kumbadirisha Dr.Kalemani, ingawa najua hili haliwezekani, maana ndiye mbunge wa Chato.
Huyo jamaa sidhani kama hiyo wizara anaiweza licha ya kuwa ni engineer.
 
Back
Top Bottom