TANESCO NINI TATIZO?

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Heri ya Mwaka mpya wanafamilia wote wa JF.


Umeme.....umeme......umeme......umeme....!!,yaaani ni kero......kero......kero......kero.....kero!


Ndugu zangu ninaumia sana leo tarehe 1.1.2022 mwaka mpyaaaaaaaaaaaaa! Halafu hakuna umeme kuanzia saa 8 usiku,hivi tatizo ni nini?,hili tatizo litaisha lini la kukatika kwa umeme?,yaani TANESCO huwa mnanikwaza sana kama mtanzania mpenda maendeleo na mchukia makwazo,mnakera sana!.

Hivi umeme umekatwa Dar es salaam yote au ni huku kimara tu?

Leo ni siku kuu,tunahitaji kujifariji kwa muziki mzuri,pia tunategemea kupata wageni watakaohitaji vinywaji baridi,sasa mmekata umeme sijui tunafanyaje!,kiukweli mnakera na kuudhi sana@TANESCO .

Hebu TANESCO tuambieni umeme mnarudisha saa ngapi,maana siku kuu bila umeme inaboa sana!.
 
Back
Top Bottom