TANESCO KAHAMA NI JIPU..MUHONGO TUMBUA jipu hapa

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,742
6,433
Ndugu znagu..Tanesco kahama ni baadhi ya ofisi zimeoza kwa ukiritiba na kupenda rushwa.inachukua mwaka kupata umeme tanguia kujaza maombi ya kuja kufanyiwa survey/tathmini ya kupata umeme mpaka siku unapata umeme.

Mimi nakaa mtaa wa majengo nimejaza form za kuomba kufanyiwa tathimini ili nijaze umeme.leo hii imekamilika miezi tisa bado hata tahmini hawajafanya.Nikifuatilia wanasema nisubiri angalu mpaka mwaka na nusu upite ndo watakuja.Kibaya zaidi ni kuwa mimi si hitaji hata nguzo kwani ziko jirani sana.

Kuendelea kutunyanyasa kupata huduma hii ndi inapelekea watu kuomba jirani zao wawaunganishie umeme kwani hatuwezi kuendelea kukaa gizani kwa uzembe wa Tanesco.
 
Wanaudhi sana..sijui nchi na serikali kwanini haiintervene
 
Back
Top Bottom