Tanesco jipu lilishindikana

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Hodi barazani humu.
Wakuu nakuja na hoja kama kichwa habari kinavyojieleza hapo juu.
Kwa kweli sijui kuna shida gani Tanesco maana kila kiongozi anayekuja anakuja na mipango lukuki lakini mwisho wa siku tatizo lipo palepale.

JPM aliweka wazi kuwa anajua matatizo ya Tanesco na akiingia tu basi atashughulikia lakini badala yake mgao umekuwa ni mgao umepamba bila ya kuelezwa sababu.
Wahusika walishughulikie hili suala maana tunateseka na Tanzania ya viwanda bila umeme haiwezekani.

Mwisho nawaomba mod msiutoe huu uzi.
 
Back
Top Bottom