KERO TANESCO jamani kuzima umeme saa 9 usiku ndio nini sasa?

KERO TANESCO jamani kuzima umeme saa 9 usiku ndio nini sasa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuna kitu hujui
Ipo hivi ukiona umeme umekata ni tatizo ambalo ni out of control hakuna Tanesco ambae anataka umeme kwa makusudi

Umeme ukikata hata saa Moja wanapoteza pesa nyingi sana

Cha kufanya kopa mkopo wa Sola system
 
Kuna kitu hujui
Ipo hivi ukiona umeme umekata ni tatizo ambalo ni out of control hakuna Tanesco ambae anataka umeme kwa makusudi

Umeme ukikata hata saa Moja wanapoteza pesa nyingi sana

Cha kufanya kopa mkopo wa Sola system

Ni kweli huwa ile ni tatizo la kiufundi ambalo sio wao wamekata.

Ila ki bongo bongo huo ukatikaji unatokana na kukosa usimamizi mzuri wa Kuhakikisha marekebisho ya sehemu zinazowezaza kufanya umeme usikatike.

Kuhusu kupoteza hela, hii kwa mashirika ya Umma huwa hata hawajali.
Ingekuwa shirika binafsi hapo sawa.
Ndo maana mwendo kasi kimara( Kiasi gani cha fedha walikosa japo abiria walikuwa wengi) Hadi kufikia kutokuwa na mabasi ya kutosha usimamizi sahihi wa ukagua risiti n.k
 
serikali inajua shegeleshegele hazihitaji uwepo wa umeme ndo mana wanakata
 
Baadhi ya maeneo ya Dar usiku mkali wa leo TANESCO mmekata umeme. Ili joto + mbu ni mateso.
Mkuu kupanga ni kuchagua. Haya ndiyo maisha wabongo tumeamua kuishi... Tukitaka mabadiliko tunaweza kuyaleta lakini kwa sasa acha tuendelee kuvuna tunachopanda.
 
TANESCO wasenge kumamakezao wamekata umeme tangu asubuhi mpaka sasa hivi giza totoro wasenge hawa mboni wanazingua?
 
Hao wasenge wanazingua sana mpaka sahizi hakuna umeme na kuna joto sio kawaida leo kumamakezao kabisa halafu hata hawasemi shida ni nini mpaka umeme umekatwa muda wote huu hawa makumaa
 
Back
Top Bottom