ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,252
- 14,793
- Thread starter
- #41
Mada yangu ni swali, je kuna uwezekano wa kuwa na makampuni ya kushindana na TANESCO?Mkuu kama umesoma pysiscs angalau hadi kidato cha nne umekutana na kanuni hii; "At the given state, energy can change from one state to another but can not be neither created nor destroyed"
Kwa maana hiyo ili umeme uusafirishe lazima uubadilishe uende kwenye state nyingine swali langu ni kuwa utaubadilisha uwe nini ndio uusafirishe? Utaunasili uwe sauti? Au uwe heat? Au utafanya muujiza gani wa kuubadili kwenye energy nyingine ambayo itakatiz a kwenye solar system ambapo napo pana energy ya kutosha tu? Kuliko kuwaza kusafirisha umeme wireless kwa nini usivune tu kutoka kwenye jua na kuupata wa bure kabisa kwa kununua solar panel? Au kwanini usinunue mitambo ya upepo ukazalisha umeme wako wa bure?
Mkuu tuache porojo mawazo yako hayawezekaniki milele.
Kuhusu namna ya kuzalisha na kusafirisha umeme siyo msingi wa hoja[ilikuwa hoja mchepuko].
Hata hivyo, sayansi siyo historia.Inabadilika kila wakati.
