Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,671
- 149,853
Ukiacha hilo swali,jiulize TANESCO inadaiwa kiasi gani kutokana ni mikataba mibovu na swali la msingi ni nani chanzo cha mikataba hii mibovu na zaidi huyu ambe ndio chanzo yeye mwenyewe anadaiwa na TANESCO kiasi gani?.
Je,TANESCO anaweza kuwakatia watu hawa umeme?
Kama hawezi,unadhani ni nani wa kubebeshwa huu mzigo?
Mikataba ya gesi inasemaje?
Je,TANESCO anaweza kuwakatia watu hawa umeme?
Kama hawezi,unadhani ni nani wa kubebeshwa huu mzigo?
Mikataba ya gesi inasemaje?