TANESCO inaendesha mgao usio rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO inaendesha mgao usio rasmi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MwanaHaki, Dec 17, 2009.

 1. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #1
  Dec 17, 2009
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  WanaJF

  Sisi wakazi wa Mbezi Beach tumekuwa tukiumizwa bila kupewa sababu ya msingi na hawa "ndugu" zetu wa TANESCO, kwani wamekuwa - kwa takriban mwezi mmoja sasa - na desturi (si tabia) ya kukata umeme bila kutoa taarifa, wakati mwingine mara mbili au tatu kwa siku, kwa muda mfupi na kisha kurejesha, na kama wanakata mara moja, basi umeme unarejeshwa baada ya saa sita au zaidi.

  Meneja Uhusiano wa TANESCO, "dada" yangu, Badra Masoud, alitamka rasmi wiki iliyokwisha kwamba "mgao" wa umeme sasa haupo tena. Je, kinachoendelea huku Mbezi Beach - KILA SIKU - nini, kama si mgao?

  Mwenye habari zaidi atuelimishe. LAKINI INAKERA!

  ./Mwana wa Haki
   
 2. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwa sababu huko mitaa ya kwenu hakuna Kigogo wa TANESCO anaeishi huko!
  Sisi mitaa ya kwetu tunaishi na Vigogo wa Tanesco, huo mgao tunausikia redioni na kwenye TV.
  Kama umekereka sana nunua SOLAR pannel uachane na Upuuzi wa TANESCO
   
Loading...