funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,847
- 31,414
Ila Team Magufuli wako focused siku zoteWote CCM na Chadema ni wapuuzi tu, wanapokezana ujinga. Ukikumbuka maandamano ya kuunga mkono kauli ya jk kuwa pesa za escrow si za serikali. Msimamo wa chadema ulikuwa kinyume........hebu angalia hali ilivyo sasa.