white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,321
- 13,288
mi mwenyewe nashangaa,huku maeneo ya ukongo ndo imekuwa km dozi yan ni wanakata kila siku tena hawana ht ratiba ya kukata,wakijisikia tu wanaswitch off,ndo najiuliza ni mgao au wahusika wanatafuta sbb ya kujipatia 10%.
juzi msemaji wa tanesco alisema kuwa kwa sasa mabwawa yote ya kuzalisha nguvu za umeme yamejaa,hivyo kwasasa mgao umekwisha.cha ajabu toka jana huku maeneo yote ya temeke umeme unakatwa toka saa mbili asubuhi mpaka saa tatu usiku!