Corluka Neven
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 325
- 372
Naomba kuuliza hivi TANESCO hawana mitihani ya bodi? Au ile mitihani ya kusoma miezi michache then unaenda kupiga pepa lao ukifaulu unachukua cheti chao. Bila kupitia chuoni!!! Yani kwa kila ngazi ya level?