TANESCO Geita mnatutesa siyo siri

TANESCO Geita mnatutesa siyo siri

wakuchuja

Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
17
Reaction score
35
Kumekuwa na tatizo la kukatika sana kwa umeme mkoa wa Geita hasa vijijini sijui kwa nini

Waziri anadai wanataka umeme wa uhakika lakini watendaji wa TANESCO wamekuwa wazembe kweli, mfano unalipia kuunganishiwa umeme leo unakuja kuunganishiwa baada ya miezi minne kama sio mitano

Sasa kuna Kata inaitwa Kasamwa-Mtaa wa Majengo Geita Mji umeme umekatika juzi tarehe 20 mwezi huu saa 20:57 mpaka mda huu haujarudi wakazi wa pale wanajaribu kuwapigia TANESCO Geita hakuna majibu ya kueleweka na haijulikani ni lini umeme utarudi

Jamani kwa wafanya kazi hawa wa TANESCO tutaelekea uchumi wa viwanda kweli?
 
Tumepokea taarifa yako kwa hatua zaisi mpendwa mteja wetu.Tunaomba namba yako ya simu hata inbox
 
mlifanyie kazi wakuu maana mikoani haasa wilayani umeme unakatika sana, ni bora kuishi mjini na kiwanda chako lakini sio wilayani maana utakufa kama unategemea umeme kuendesha maisha yako.
 
Tumepokea taarifa yako kwa hatua zaisi mpendwa mteja wetu.Tunaomba namba yako ya simu hata inbox
Ndugu mpendwa mteja wetu
Tunakujulisha kuwa tatizo la transfoma la eneo husika limeshafanyiwa kazi.Tunawaomba radhi sana kwa kukosa huduma hii muhimu
 
Back
Top Bottom