TANESCO Dodoma kulikoni?

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
3,164
3,815
Leo ni siku ya tatu hawakati umeme, siwaelewi hawa TANESCO hata kidogo! Mitambo ya tera ishazimwa navya Kidatu within 24 hrs itazimwa pia, ila umeme hamkati. Hebu kuweni wachapakazi, do your part, kateni umeme..
 
Ukuzoea kudanganywa,ukiambiwa ukweli unadhani ni uongo,
Wambie wakate tena wakate haraka...."......
 
Haiwezekani kutakuwa na tatizo kwenye line ya mtaa wenu.tafadhali wapigie emergency waje wakate
 
Huku kwetu nimeshangaa tangu jmos upo. Ile nipige tu Tanescrow nao wakashtukia ubovu wa line wakakata chap. Sasa tuko poa na kamshumaa ketu!
 
Doh!! Af Sisi Tushazoea Kulipa Bili Kubw Ila Ulpoanza Kukatika Katika Ndo Tunalipa Bili Ndogo,,, Nan Anatak Kulipa Bili Ndo Et C Ukiwepo Kdg 2 Ata Mchana 2nawaxha Taa Zote
 
Back
Top Bottom