TANESCO Butiama mtatutesa mpaka lini?

Bila shaka mleta uzi umepata mwongozo.

Maana nimekuitia wahusika
Sasa huyo muhusika anatofauti gani na roboti? Anajibu kama roboti, kwanini asifanye masiliano na Butiama, wamweleze nini wanafanya kutatua tatizo, na lini watatatua, ndio aje kujibu, sasa hicho alichojibu ni sawa na bure tu
 
Ngoja tumuache apambane
 
Ngoja tumuache apambane
ELIMU KUTOKA TANESCO

TOA TAARIFA SAHIHI NA KAMILI ILI KUPATIWA HUDUMA BORA NA KWA WAKATI

Mpendwa mteja wetu unapotoa taarifa kupitia njia zetu mbadala za Mitandao ya Kijamii Whatsapp, Facebook, Twitter Instagram Jamii forum, Barua pepe nk unashauriwa kutoa taarifa kamili zitakazowawezesha wataalamu wetu na viongozi kukupatia Huduma bora na za haraka. Tunakuomba uzingatia yafuatayo

1. Jina la mtoa taarifa
Hii inatusaidia kumtambua mtoa taarifa kwenye mifumo yetu. Hakikisha unapewa namba ya Taarifa maarufu kama (TB namba) Ili mafundi wakiagizwa kuja kukuhudumia isije kutokea (wakagongana). Kama usipotoa taarifa ukapewa namba ya taarifa, mafundi wawili au watatu wanaweza kuja kwako kwa wakati mmoja.

2. Eneo, Wilaya, kijiji Mtaa Hii inatusaidia kujua kazi fulani inafanyiwa kazi na ofisi ipi na kujua kama tatizo la eneo husika limeshatolewa taarifa na wateja wengine.
Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti

2. Alama au mtu au kitu maarufu kilichopo eneo lako
Taja, Mfano nyuma ya ofisi ya Mbunge, karibu na Msikiti/Kanisa la eneo X, Ofisi za Serikali, Ofisi za watu binafsi , watu mashuhuri mfano kulia mwa Nyumba ya Msanii X iliyopo eneo la Madale nk.

3. Namba ya simu
Namba ya simu ya mteja aliiyetoa taarifa au inayopatikana. Namba hii inatusaidia kumfikia mteja aliyetoa taarifa kwa wakati, na pia kumpigia mteja aliyetoa taarifa kujua kama alihudumiwa au bado.

4. Jinsi ya kufika eneo husika
Toa maelezo ya ziada ya jinsi ya kufika nyumbani kwako ili hata wataalamu wetu wakifika na simu zako hazipatikani iwe rahisi kukupata au kuulizia kwa majirani zako.

5. Elezea kwa ufasafa unachohitaji, unacholalamika, au unachoomba
Ni muhimu sana kutaja nini unakitolea taarifa ili wataalamu wa TANESCO wajue na kujiandaa kabla ya kufika kwako.

6. Muda wa kutokea kwa tatizo
Kama ni hitilafu au tatizo linalohitaji ufumbuzi wetu tafadhali onesha tatizo limetokea tangu lini au hutokea muda gani.

6. Namba ya mita
Kama ni tatizo la mita au taarifa zinazohusu manunuzi ya umeme uwe na namba ya mita na ni changamoto gani unaipata mfano: __Nikiingiza umeme mita namba xxx inaandika connect au error 77, FF1, Sleep, au nikinunua umeme wa shilingi kadhaa napata ujumbe fulani mfano Insuffient balance nk_

7. Namba ya taarifa
Kama mteja ulishatoa taarifa TANESCO kwa kupiga simu, au kufika TANESCO, anashauriwa kuonesha namba ya taarifa uliyopatiwa wakati wa kutoa taarifa na Ofisi Husika mfano NMR042021TB-0008

Zingatia

Huduma bora inaanza na utoaji wa taarifa kamili na fasaha

TANESCO Tunayaangaza Maisha Yako
 
Ndio maana nikasema unajibu kama roboti, this is very insulting, mimi naongea kama binadamu, wewe unanijibu kama roboti, hivi nilicho comment na hii risala unayonijibu vinaendana? Nijibu kama binadamu mwenzangu na sio kama kasuku anae relay alichoambiwa, otherwise funga mdomo wako!
 
Mpaka sasa haujatoa taarifa yeyote ndio maana tunakupa muongozo wa kwanini tunataka taarifa husika hivyo tunaendelea kukusihi kutoa taarifa kamili kwa huduma bora
 
Jibu lako la kwanza kwa mtoa mada kwenye post yako NAMBA 12 umesema , “Ahsante kwa taarifa, tunaifanyia kazi”, ni taarifa ipi hiyo uliyokuwa unafanyia kazi? Maana ndio hiyo na mimi naijadili hapa.

Angalizo: Hivi ndivyo unatakiwa kujibu, kama binadamu, ukiendelea kujibu hivi kama binadamu utajijengea heshima, wengi tukata tamaa kujadili chochote na wewe sababu ya majibu yako ya kiroboti roboti, achana na hiyo tabia.
 
Ufafanuzi

Taarifa inapokelewa huku Makao Makuu tukiendelea kuifatilia wakati mwingine tuwajibika kuomba taarifa zaidi kwa hatua zaidi hivyo tunaomba ushirikiano wako
 
Nikupe ushauri labda jinsi ya kuhudumia mteja kama huyu.

1.) Anza na taarifa alizotoa kwanza, mfano hapa, ameongelea Transfoma eneo la Butiama, fanya mawasiliano na watu wa Butiama, pata taarifa sahihi na kisha ulete Mrejesho juu ya kwanini wanachelewa kutengeneza na lini watatengeneza.

2.) Endapo huko Butiama watakana kuwepo kwa hilo tatizo, ndio uanze kuomba vielelezo vya ziada kwa ufuatiliaji zaidi.

Mbona hii ni common sense approach na wala huitaji kumbiwa, anza sasa hivi kuuliza huko Butiama na utuletee majibu sasa hivi, proactively...
 
Ndivyo tunavyofanya tumejipanga na wenye weledi, uzoefu na makini ndio maana ambao wanatumia ukurasa huu watakuwa mashahidi.

USHAURI WETU

hakikisha unatoa taarifa tunazoomba ili kupatiwa huduma stahiki badala ya kuona kuwa watoa huduma hawajachukua hatua stahiki, huduma ni taarifa na taarifa ndio msingi wa huduma bora.
 
Sawa, muombe mtoa mada akupe taarifa zaidi na utuletee majibu, ikiwezekana sasa hivi.
1.) Kwamba kwanini inachukua muda mrefu?
2.) Lini watarekebisha hiyo transfoma huko Butiama, na tatizo likitatuliwa pia tuoewe mrejesho hapa hapa.
 
Tatizo lilikuwa ni la transformer mbovu , wamefika wanatengeneza muda huu sijui kama watazuga halafu waondoke kama kawaida yao. Tumekaa siku 9 bila umeme hadi tulipo washukia humu JF ndo wamefika kwenye transformer. Ntaleta mrejesho, nipo hapa nawaangalia
 
Bila kuwakalia kooni hawa huwa wanapuuzia, safi sana
 
Hatimaye Wamewasha umeme Butiama baada ya kubadilisha transformer baada ya siku 9 za mateso asanteni wote mlionipa ushirikiano kuwafikishia taarifa TANESCO
 
Back
Top Bottom