William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Hii unaitoa wapi ? Tumeingia vita ya Kagera dola ikiwa kati ya sh. 7.00 na sh. 8.00. na tumemaliza vita dola ikiwa bado sh. 8.00. Miaka mitano baadaye 1984 dola ilikuwa bado ni chini ya sh. 10.00. Haya madai yako unayatoa wapi ? Kama kuna kitu alikitaa Mwalimu kata kata ni misaada yenye masharti na sharti mojawapo lilikuwa ni kushusha thamani ya fedha yetu. Unajua kwa nini alituomba tufunge mkanda ? Utanisamehe huu ni mchango wangu wa mwisho, kwaheri.
- Mkulu Mag3, hapa tupo ukurasa mmoja, unajua kwa kawaida huwa situpi risiti ya anything katika maisha yangu, hoja yako ni nzito na ninataka kuweka ushuhuda kwamba Mwaka 1983 nilisafiri kwenda majuu na nilinunua dola za US hii benki ya NBC karibu na Sanamu, dola moja kwa Shillingi 8.00,
Mwaka 1987 miwishoni nilisafiri tena kwenda majuu, benki hiyo hiyo nikanunua dola moja kwa shillingi 16.00, na ninazo risiti mpaka leo, ninakumbuka Mwalimu akilalamika kwenye hotuba yake ya Mbeya, kuhusu kupanda kwa bei ya matrekta ya kilimo kufikia Shillingi Laki Sita za Tanzania then,
- Balaa la kupanda kwa dola kulinganisha na shillingi, lilianzia kwenye Utawala wa Miwnyi na alipokuja Mkapa, ikawa a free fall!
Respect.
FMEs!
Bluray
Karudi kinyemela huyu sort him
- Mkuu acha hizi, huu mfupa ulikushinda hata wewe sasa usiponze wenzio, jamani tafadhalini hebu nipeni nafasi nijadili taifa langu kwa amani, kwa nini ninawakosesha raha hivi? WHY?
- I mean give me a break, kila mtu analia lia tu hamna hoja, imebaki viroja tu, hapa kwetu ni masilahi ya taifa tu, hatuna peremende wala pipi, pleaaase! Bwa! ha! ha! aaaaagggggrrrrr! this is fun!
es!
Sasa mbona ulikimbia mawe ya Bluray?
Mkuu Bluray karudi huyu.
- Sikukimbia mawe ya mtu yoyote, hakukuwa na majibu ya swali moja tu ambalo to me ndilo lilikuwa the key to the debate likijibiwa ipasavyo sina noma kuendelea na deabte anytime,
- Sasa vipi wewe mbona unashindwa kuwajibu wakuu hapo juu au ndio unajaribu kutoka unyoya? Bwa! ha! ha!
es!
Hii unaitoa wapi ? Tumeingia vita ya Kagera dola ikiwa kati ya sh. 7.00 na sh. 8.00. na tumemaliza vita dola ikiwa bado sh. 8.00. Miaka mitano baadaye 1984 dola ilikuwa bado ni chini ya sh. 10.00. Haya madai yako unayatoa wapi ? Kama kuna kitu alikitaa Mwalimu kata kata ni misaada yenye masharti na sharti mojawapo lilikuwa ni kushusha thamani ya fedha yetu. Unajua kwa nini alituomba tufunge mkanda ? Utanisamehe huu ni mchango wangu wa mwisho, kwaheri.
Sasa mbona ulikimbia mawe ya Bluray?
Mkuu Bluray karudi huyu.
.............. Wakati wa Kasambala nakumbuka mzee wangu alilipa laki 7 kuunganishiwa mita hapo bado akaja kulipa 35000 ya mita yenyewe na kuhonga juu. haya nani msafi.......!!!
..............inawezekana kabisa Kasambala hakuwapo kipindi hicho but it does preclude who was in charge (ambaye si Idrissa) kutumaliza sisi walalahoi kwa kutucharge laki saba tuunganishiwe mita kisa eti ziko haba..............
but alikuwa na mtazamo finyu wa nchi angeliruhusu sekta binafsi, tukachimba mafuta, madini na uongozi imara aliouweka tusingelikuwa na matatizo ya kiuchumi tuliyonayo sasa halafu wewe unamfagilia!!! I mean come on!!!