Tanelec

Tanelec

concrete15

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
882
Reaction score
323
Hivi kuna baadhi ya makampuni yanacheza na mind za watu inakuwaje wanaita interview kila mwaka bila kuajiri watu kama kumi na tano hivi tulifanya interview mwaka jana tumechoma nauli hawajaita mtu mpaka sasa juzi tumesikia wanafanyisha tena interview. this is bullshit kwa kweli

  • :angry:

 
kuwa mpole ndo maisha ya siku hizi wewe tafuta mahali ujishikize life lisonge
 
Back
Top Bottom