Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Ivi kwann mnafanya hivi lakini ., kila dakika na kila siku nyie nikukata umeme tuu bila ratiba maalumu..
Mkijjsikia mnakata.
Halafu ni upande wa kuanzia kijenge kushuka Moshono... ndio mmeona ni watu wa kuwaonea .
Kila siku ni huko tu ... kila siku ..
Uvumilivu unaelekea kutushinda ..
Other wise ng'oeni nguzo zenu kabisa tujue hatuna umeme wenu ,tutafute njia njia mbadala kuliko haya mnayotufanyia.