Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,495
Tanapa mmetangaza nafasi za kazi, ni vizuri. Lakini mnataka waombaji wote watume maombi yao kupitia 'online application system'.
Sijaona option nyingine ya kutuma maombi zaidi ya hiyo. Hivi huwa mnatathmini kweli hali ya Tanzania na watanzania?. Online application system huwa zina mlolongo mrefu, kama sio mzoefu ni nadra sana kufanikiwa kupitisha maombi yako.
Mtoto aliyesoma wildlife management pale Pasiansi, akarudi Bariadi kusikilizia hizo ajira, leo umwambie akapambane na online application system ataweza kweli???.
Maombi kwa barua pepe ndio njia ambayo asilimia kubwa ya vijana wanamudu, hata kwa usaidizi. Tanapa ni mali ya uma, iwe inafikiria uma wa watanzania. Au kwavile mnapokea wazungu kwa wingi basi mnahisi Tanapa ni ya wazungu!!!.
Nimeshuhudia wahudumu wa internet cafe na maduka ya stationary wakishindwa kuwasaidia vijana kutuma maombi kwenye hiyo 'online system' ya Tanapa.
Sehemu ya Qualification, kuna eneo inabidi u-select result kutoka kwenye drop down menu. Lakini hiyo drop down menu haina chochote na wala huwezi andika chochote.
Na bila kujaza result huwezi endelea mbele kutengeneza profile yako ambayo ndio utaitumia ku-apply hizo nafasi. Tanapa hebu rekebisheni hiyo system, au toeni maelekezo.
Tunajua mme-out source hiyo online application system kama njia tu ya kupigia hela za umma. Tanapa haina mahitaji hayo. Mna ofisi ya rasilimali watu ambayo inaweza ikaratibu mchakato mzima wa ajira mpya.